Naomba kueleweshwa maana ya away cleen sheet - no

Marealle

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
14
Reaction score
13
Nimeweka aina ya betting hii hapa ila naambiwa nimepogwa, naomba kuelewashwa tafadhali.
Kwa uelewa wangu niliposema away team clean sheet no nilimaanisha team ya igenini ifungwe au nielewa vibaya?
 
Ulichobet wewe ni kwamba timu ya ugenini isitoe clean sheet yaan ifungwe angalao goli moja kwa mpira kuisha 0-2 maana yake umepigwa kwa sababu wa away hajaruhusu goli
 
Nimeweka aina ya betting hii hapa ila naambiwa nimepogwa, naomba kuelewashwa tafadhali.
Kwa uelewa wangu niliposema away team clean sheet no nilimaanisha team ya igenini ifungwe au nielewa vibaya?View attachment 3013713
Ushasema Away team clean sheet yaan timu ya ugenini isigungwe goli.

Sasa hapo ubaoni Naona 0:2 FT score means umeliwa.
 
Mimi sijaelewa kwenye exact score,pale kwenye Others,Kuna maana gani
 
Ulichobet wewe ni kwamba timu ya ugenini isitoe clean sheet yaan ifungwe angalao goli moja kwa mpira kuisha 0-2 maana yake umepigwa kwa sababu wa away hajaruhusu goli
Tokaaa. Hujui hata kusoma score board wewe. Hapo wa away (ugenini) amepigwa goli mbili. So hiyo option jamaa kashinda maana amechagua away team ifungwe walau goli moja na kuendelea yani away team isipate cleansheet
 
Away ndio kashinda goli mbili, wewe ndio umesoma vibaya.
 
Punguza wenge mkuu, aliyefungwa ni timu iliyo nyumbani. Na timu iliyopo ugenini imetoka na clean sheet
 
Tokaaa. Hujui hata kusoma score board wewe. Hapo wa away (ugenini) amepigwa goli mbili. So hiyo option jamaa kashinda maana amechagua away team ifungwe walau goli moja na kuendelea yani away team isipate cleansheet
Duuuh..... Wewe ndio umeenda chaka vibaya mnoooo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…