Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushasema Away team clean sheet yaan timu ya ugenini isigungwe goli.Nimeweka aina ya betting hii hapa ila naambiwa nimepogwa, naomba kuelewashwa tafadhali.
Kwa uelewa wangu niliposema away team clean sheet no nilimaanisha team ya igenini ifungwe au nielewa vibaya?View attachment 3013713
Tokaaa. Hujui hata kusoma score board wewe. Hapo wa away (ugenini) amepigwa goli mbili. So hiyo option jamaa kashinda maana amechagua away team ifungwe walau goli moja na kuendelea yani away team isipate cleansheetUlichobet wewe ni kwamba timu ya ugenini isitoe clean sheet yaan ifungwe angalao goli moja kwa mpira kuisha 0-2 maana yake umepigwa kwa sababu wa away hajaruhusu goli
Away ndio kashinda goli mbili, wewe ndio umesoma vibaya.Tokaaa. Hujui hata kusoma score board wewe. Hapo wa away (ugenini) amepigwa goli mbili. So hiyo option jamaa kashinda maana amechagua away team ifungwe walau goli moja na kuendelea yani away team isipate cleansheet
Ahaa yeah nilikuwa sijaangalia vizuriAway ndio kashinda goli mbili, wewe ndio umesoma vibaya.
Punguza wenge mkuu, aliyefungwa ni timu iliyo nyumbani. Na timu iliyopo ugenini imetoka na clean sheetSio kweli.
Hiyo option ni kama swali. "Je timu ya ugenini isiruhusu goli" jamaa kachagua "hapana" (no).
Maana yake amesema team ya ugenini lazima itafungwa goli. Yani haitapata clean sheet na kweli hapo unaona wa ugenini kapigwa goli mbili.
System itakuwa imeteleza tu ila kwa hiyo option jamaa yupo sawa na ana haki ya kuuliza maana hapo kashinda.
Mimi nimebet zaidi ya miaka 12 sasa hiyo hapo jamaa katapeliwa na system.
Nimeangalia nishaelewa jombaaPunguza wenge mkuu, aliyefungwa ni timu iliyo nyumbani. Na timu iliyopo ugenini imetoka na clean sheet
Hapo ungeweka YES.
Ungekuwa unacheka muda huu
Unaweka hela kwa kitu ambacho hata huna uelewa nacho, hizo hela hua mnatoa wapi ndugu?
Duuuh..... Wewe ndio umeenda chaka vibaya mnoooo....Tokaaa. Hujui hata kusoma score board wewe. Hapo wa away (ugenini) amepigwa goli mbili. So hiyo option jamaa kashinda maana amechagua away team ifungwe walau goli moja na kuendelea yani away team isipate cleansheet