Naomba kueleweshwa maana ya ndoto hizi?

Una uhakika unakula chakula cha kutosha? Kam ndio ni mlo kamili. ? Hizo ni dalili za utapia mlo au kulala chumba kisichokuwa na hewa ya kutosha,au shuka hufui mara kwa mara. We kuwa msafi kula msosi wa kutosha (sio ulafi) omba lala.
 
Kwani hujawahi kuota unakojoa na ukikurupuka unakuta umeshaumwaga?

Lakini pia yapo matukio hutokea ndotoni. Mfano unaota mtu anakufinya na mazingira ya ndoto kabisa unayaona. Ukishituka unakuta kweli kuna mtu alikufinya au kukufanyia jambo baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…