KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Mar 6, 2022 #1 Habari zenu wakuu! Hii idara ni pana sana ila naomba kujua kama mtu anaweza kuajiriwa huko bila kupitia jeshi?Vp utaratibu wao wa kuajiri upoje? Wana vitengo kama ilivyo jeshini au ni vipi ndugu zangu? Shukrani sana
Habari zenu wakuu! Hii idara ni pana sana ila naomba kujua kama mtu anaweza kuajiriwa huko bila kupitia jeshi?Vp utaratibu wao wa kuajiri upoje? Wana vitengo kama ilivyo jeshini au ni vipi ndugu zangu? Shukrani sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 6, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...