unlucky
Senior Member
- Aug 9, 2011
- 199
- 56
Habari zenu ndugu zangu poleni na misukosuko ya hapa na pale.
Naomba nijue kuhusu usafiri wa treni kwa Dar es salaam utaratibu unakuwaje mfano Dar kwenda Mwanza inakuwa bei gani na inachukua siku ngapi au masaa mangapi na je usafiri w treni ni salama na tiketi yake unakatia wapi manake sijawahi kupanda treni naomba ushauri.
Asanteni