Naomba kueleweshwa 'Software Engineering' inahusu nini?

djsisco

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
104
Reaction score
15
wadau niambieni mnayoyafahamu kuhusu hii faculty, kuanzia darasani mpaka kwenye ajira
 
asee samahani kwa kuvamia ila pia mwenye ujuzi wowote juu ya programing anisaidie,i need to know how one can become a proggrammer.help tafadhali
 
asee samahani kwa kuvamia ila pia mwenye ujuzi wowote juu ya programing anisaidie,i need to know how one can become a proggrammer.help tafadhali

me too! But I heard hesabu za huko zina hatari.. Lakin math sio tatizo kama umekipenda kitu utakifanya kwa moyo wote. Mi napenda kuwa video game programmer, nilikutana na article moja inasema kwamba, kama unapenda kuwa programmer the 1st thing soma Computer Science na computer languages za C+ na C++. Ila kwa Software Engineering hilo ndo baba lao, coz Software Engineer ni kama mtengeneza ubao(tools) na Programmer ndo anatumia huo ubao(tools) kutengeneza features. Kwa hiyo, Software Engineer anaweza kufanya programming lakin Programmer hawez kuwa Software Engineer.
 
What is a software?how is working?how can i use?how can i comand according to my idea?
 
Naomba msaada juu ya kozi ya software engineering ajira zake zipoje????
 
Kama unataka kusoma kwa ajira ualimu ni chaguo zuri zaidi.Kwasababu ukimaliza tu ajira mkononi ila kwa hiyo inategemea na michongo !! Sisi tunao kitaa wanahaha vibaya sana HADI wanatumia vyeti vya six kuomba kufundisha private school

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi ni layman kwenye hiyo kitu, lakini kama wataka usome software engineering halafu uajiriwe basi hauko sehemu sahihi. Huyo jamaa anayekushauri kusomea ualimu yuko sahihi. Unataka uajiriwe na nani hapa? Vmware? Microsoft? Juniper Networks? LinkedIn? Yahoo? Google? Kwa Tanzania kwanza hayapo. Kwa huko yalipo, sio suala la kupata ajira tu kwa sababu umesoma software engineering.
 

acha kuleta siasa kwenye hivyo vitu dogo.....ukienda huko kimbwembwe utaishia kuwa na mbwembwe tu...hivyo vitu havitaki siasa wala utozi COMPUTER PROGRAMMER NDIO BABA LAO ni kuandika codes tu ndio mpango mzima....huko kwenye software engineering mambo mengine huwa ni theory tu za hapa na pale mpango zima kujua kutambaa na CODES... We endelea kuleta siasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…