Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asee samahani kwa kuvamia ila pia mwenye ujuzi wowote juu ya programing anisaidie,i need to know how one can become a proggrammer.help tafadhali
me too! But I heard hesabu za huko zina hatari.. Lakin math sio tatizo kama umekipenda kitu utakifanya kwa moyo wote. Mi napenda kuwa video game programmer, nilikutana na article moja inasema kwamba, kama unapenda kuwa programmer the 1st thing soma Computer Science na computer languages za C+ na C++. Ila kwa Software Engineering hilo ndo baba lao, coz Software Engineer ni kama mtengeneza ubao(tools) na Programmer ndo anatumia huo ubao(tools) kutengeneza features. Kwa hiyo, Software Engineer anaweza kufanya programming lakin Programmer hawez kuwa Software Engineer.