Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sukuma gangHabari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.
Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?
Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
Hapana mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tu. Mimi nachokiona hapo tunakwenda kuua bandari ya Dar, Tanga, Kilwa na Bandari ya Mtwala. Zitakwenda kufa hakika. Lazima tujitahidi kutumia akili tuangalie huko mbele tunakokwenda. Mtu hawezi kuinvest fedha zake nyingi alafu utegemee utafaidika kuliko yeye.Sukuma gang
Tanga, Mtwara zilishajifia. Hapo Kenya Wana Bandari ya Mombasa lakini wanafungua nyingine Lamu (LAPSSET)Hapana mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tu. Mimi nachokiona hapo tunakwenda kuua bandari ya Dar, Tanga, Kilwa na Bandari ya Mtwala. Zitakwenda kufa hakika. Lazima tujitahidi kutumia akili tuangalie huko mbele tunakokwenda. Mtu hawezi kuinvest fedha zake nyingi alafu utegemee utafaidika kuliko yeye.
Sawa tupo pamoja, huu unabii sasa umetimiaTanga, Mtwara zilishajifia. Happ Kenya Wana Bandari ya Mombasa lakini wanafungua nyingine Lamu (LAPSSET)
kafafanua vizuri tu ..mwenye masikio na asikie na mwenye macho na atazame..Sawa tupo pamoja, huu unabii sasa umetimia
Si ndo hapo!!!.Sasa Ndugai anataka kutuaminisha Kuwa mradi huo eti ni wa muhimu.Hapana mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tu. Mimi nachokiona hapo tunakwenda kuua bandari ya Dar, Tanga, Kilwa na Bandari ya Mtwala. Zitakwenda kufa hakika. Lazima tujitahidi kutumia akili tuangalie huko mbele tunakokwenda. Mtu hawezi kuinvest fedha zake nyingi alafu utegemee utafaidika kuliko yeye.
Hizo ndizo akili mavi za watz wengi tunazozipigia kelele..lamu na mombasa zipo karibu karibu? Ni sawa na bagamoyo na dar? Hii nchi ina wajinga wengi sana akiwepo wewe hapo..Tanga, Mtwara zilishajifia. Happ Kenya Wana Bandari ya Mombasa lakini wanafungua nyingine Lamu (LAPSSET)
Kabisaa!!!, Binafsi naanza kukumbuka maneno yake,"Watz mtanikumbuka, mtanikumbuka si kwa mabaya bali kwa mema".Mzee alikuwa Genius ni suala LA muda tu wataanza tena kutafutana aliyezima taa nani we are here Pumzika kwa amani mwendazake vitakuja kuumana mbele halafu wataanza kukumbuka legacy yako
Dunia bila wapuuz Kama nyie hainogi. Pole Mnyonge. Ndio imetoka hiyo, ngoma ntolee,Hizo ndizo akili mavi za watz wengi tunazozipigia kelele..lamu na mombasa zipo karibu karibu? Ni sawa na bagamoyo na dar? Hii nchi ina wajinga wengi sana akiwepo wewe hapo..
Ni ngumu kujikwamua haraka, mana hata huyo msomi ni mjinga tu kama muhongo na wenzake..
Tutamkumbuka kwa YOTEKabisaa!!!, Binafsi naanza kukumbuka maneno yake,"Watz mtanikumbuka, mtanikumbuka si kwa mabaya bali kwa mema".
Bandari ya Bagamoyo hapana ila ijengwe bandari ya nchi kavu hapo CHALINZE kubwa kuzidi TPA na TICTS ili mizigo yote inayofika badari ya DSM isafirishwe kwenda huko kwa reli kisha kuanzia hapo usafiri wa magari kwa mahitaji ya kanda za kati, nyanda za juu kusini , magharibi na ziwazisafirishwe kwa nia ya barabara.Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.
Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?
Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
Ni swala muda ila,hata hawa wanaopiga kelele na kumponda wataanza kuongea kauli zile zile za Magu.Mzee alikuwa Genius ni suala LA muda tu wataanza tena kutafutana aliyezima taa nani we are here Pumzika kwa amani mwendazake vitakuja kuumana mbele halafu wataanza kukumbuka legacy yako
Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.
Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?
Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani