Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 349
- 678
Kumekucha!Hapo wanasheria waje wafafanue.Habari!
Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi.
Naomba utofauti kati ya;
1. IBARA
2. IBARA NDOGO
3. KIFUNGU
4. KIFUNGU KIDOGO
Na ufafanuzi wa maneno yaliyopo upande wa kulia.View attachment 2617970
Sawa sawaVifungu kwa uelewa wangu huwezi vikuta kwenye hicho kitabu kinachoitwa katiba... utavikuta kwenye sheria nyingine kama penal code sheria ya makoaa ya jinai na sheria zote tuu. Kule hatusemi ibara tunasema kifungu na hatusemi ibara ndogo tunasema kifungu kidogo
SawaKule mjini Youtube kuna jamaa wanajiita SHERIA POA wanatoa hiyo Elimu ya Katiba na vifungu vya katiba, mi nimejifunza huko, jitahidi uanzie epsod ya kwanza ndo utaelewa zaidi