kisokolokwinyo
Member
- Oct 14, 2011
- 65
- 21
Mmh mbona hapa ni kama yeye ndio yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufafanua?Habari Wana jamii
Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya pale akasoma karatasi yangu akaniuliza unatumia jina lako?nikamwambia ndio basi ikaishia hapo ss sijaelewa maana ya kuniuliza hivyo kwamba watu hawatumii majina Yao au ni vema kutotumia au natakiwa kuwa na jina flani mbadala ?
Mwenye kuelewa maana ya swali naomba anieleweshe