Naomba kueleweshwa

Naomba kueleweshwa

Joined
Oct 14, 2011
Posts
65
Reaction score
21
Habari Wana jamii

Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya pale akasoma karatasi yangu akaniuliza unatumia jina lako?

Nikamwambia ndio basi ikaishia hapo sasa sijaelewa maana ya kuniuliza hivyo kwamba watu hawatumii majina yao au ni vema kutotumia au natakiwa kuwa na jina flani mbadala?

Mwenye kuelewa maana ya swali naomba anieleweshe
 
Habari Wana jamii
Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya pale akasoma karatasi yangu akaniuliza unatumia jina lako?nikamwambia ndio basi ikaishia hapo ss sijaelewa maana ya kuniuliza hivyo kwamba watu hawatumii majina Yao au ni vema kutotumia au natakiwa kuwa na jina flani mbadala ?
Mwenye kuelewa maana ya swali naomba anieleweshe
Mmh mbona hapa ni kama yeye ndio yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufafanua?
 
Back
Top Bottom