Dola,Hivi chama AKISHINDWA UCHAGUZI na akamuamrisha dola amlinde hapa mbulula ni chama au dola?
Kwahiyo mtoto anaweza kuwapindua wazazi? Na je uwepo wa wazazi unategemea mbeleko ya mtoto?Hii ni Sawa na wazazi na mtoto...ata kama Una Elimu na utajiri Mkubwa, Kwa wazazi lazima ukae.. Chama ndicho chenye mandate ya kusimamia Dola.
Inawezekana na kuna baadhi ya makabila watoto wanatembea na wazazi wao..ni Kwa Imani potofu au Tamaa.Kw
Kwahiyo mtoto anaweza kuwapindua wazazi? Na je uwepo wa wazazi unategemea mbeleko ya mtoto?
Sio kupindua tu..kuna wengine wanaua wazazi ili wa take over.Kw
Kwahiyo mtoto anaweza kuwapindua wazazi? Na je uwepo wa wazazi unategemea mbeleko ya mtoto?
Unganisha comments zako ziwe sehemu yao uzi wakoHivi chama AKISHINDWA UCHAGUZI na akamuamrisha dola amlinde hapa mbulula ni chama au dola?