Mengi tu!Naomba kuelimishwa, hivi ni
kwa namna zipi serikali ina
wanyanyasa waislamu.
Cuz sielewi. mi naoma Serikali anatunyanyasa wote "equally"....cuz kama mafisadi wanaiba hela zetu wooote, mikataba mibovu inatuathiri wote, tindikali tunamwagiwa wote na watalii pia, risasi na mabomu ni kwa cdm na wengine wote( ccm tu ndo hili haiwahusu lol)..
Naomba kujua zaidi
Mengi tu!
Mfano pato la Taifa ni Serikali tu na Kanisa ndio waliojifungia peke yao na kuhakikisha mabilioni ya pesa za walipa kodi zikilinufaisha Kanisa peke yake.
Mkuu kuna mengi tu zaidi ya hilo. Kwanza ukiangalia orodha ya wauza dawa za kulevya imejaa waislamu wakristo ni wachache sana. halafu hata kwenye baraza na maakofu hakuna mwislamu hata mmoja.
Mengi tu!
Mfano pato la Taifa ni Serikali tu na Kanisa ndio waliojifungia peke yao na kuhakikisha mabilioni ya pesa za walipa kodi zikilinufaisha Kanisa peke yake.
Sijui yule mama pale NECTA atasemaje sasa!Mkuu kuna mengi tu zaidi ya hilo. Kwanza ukiangalia orodha ya wauza dawa za kulevya imejaa waislamu wakristo ni wachache sana.
Sijui yule mama pale NECTA atasemaje sasa!
Maanake hawa ndio aliowahujumu wakakosa elimu matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Sijui yule mama pale NECTA atasemaje sasa!
Maanake hawa ndio aliowahujumu wakakosa elimu matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Mengi tu!
Mfano pato la Taifa ni Serikali tu na Kanisa ndio waliojifungia peke yao na kuhakikisha mabilioni ya pesa za walipa kodi zikilinufaisha Kanisa peke yake.
Huhitaji majina kujua kuwa Shule zilizopo Mtwara, Lindi, Tanga,Kigoma, Tabora, Ilala zina wanafunzi wengi Waislamu.Mkuu hivi NECTA kwenye mchakato wao wa kusahihisha mitihani wanakuwa na majina ya watu au namba?
Ninamaanisha MoU! Serikali inalipa Kanisa mabilioni ya pesa kila mwaka kupitia MoU.hilo kanisa linawagawia waumini wake mabilioni au mbona sielewi!!
je islamic bank inamfaidisha nani? Huu nao ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine wowoteama kweli thread hii imenichekesha zaidi ya nilizopata kuziona kule jukwaa la jokes!
imebidi nicheke na niwaambie kuwa nimecheka sana, Yaaani kweli JF ni burudani tosha.Mkuu kuna mengi tu zaidi ya hilo. Kwanza ukiangalia orodha ya wauza dawa za kulevya imejaa waislamu wakristo ni wachache sana. halafu hata kwenye baraza na maakofu hakuna mwislamu hata mmoja.
Mkuu kuna mengi tu zaidi ya hilo. Kwanza ukiangalia orodha ya wauza dawa za kulevya imejaa waislamu wakristo ni wachache sana. halafu hata kwenye baraza na maakofu hakuna mwislamu hata mmoja.