kimanu
Senior Member
- May 31, 2013
- 196
- 64
Naomba kuelimishwa, hivi ni
kwa namna zipi serikali ina
wanyanyasa waislamu.
Cuz sielewi. mi naoma Serikali anatunyanyasa wote "equally"....cuz kama mafisadi wanaiba hela zetu wooote, mikataba mibovu inatuathiri wote, tindikali tunamwagiwa wote na watalii pia, risasi na mabomu ni kwa cdm na wengine wote( ccm tu ndo hili haiwahusu lol)..
Naomba kujua zaidi