bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Asante mkuu0-600 sqm Hight density
600- 1200 sqm Mediuam Density
1200 + Low Density
Hiv ndivyo nijuavyo mimi, wengine watakuelewesha zaid
0-600 sqm Hight density
600- 1200 sqm Mediuam Density
1200 + Low Density
Hiv ndivyo nijuavyo mimi, wengine watakuelewesha zaid
Kma utakua umesoma geography , density inapima mkusanyiko wa watu, so kua low density inamaana mkusanyiko wa watu ni mdogo, then high, mkusanyiko ni mkubwa,Na hii tofauti inanuia nini....yaani ni kwanini wana vi classify kwa hizo densities
Umemaliza KiongoziKma utakua umesoma geography , density inapima mkusanyiko wa watu, so kua low density inamaana mkusanyiko wa watu ni mdogo, then high, mkusanyiko ni mkubwa,
Mfano kiwanya cha sqm 1400 ambacho anaishi mtu mmoja mbezi beach ( low density), ukija magomeni kagera, tandale kwa tumbo, vingunguti kwa mnyaman au popote uswahilini , ni makazi ya watu kumi au zaidi( high density) ata ukiangusha kijiko jiran anasikia.
Hope nimejaribu kukuelewesha
Kwanini waliopima viwanja masaki, Osterbay, mikocheni, mbezi beach, wasingepima kwa vipimo ivyo ivyo kwa maeneo ya sinza kijitonyama magomeni manzese au kuna mtu alizembea maeneo ayo?Kma utakua umesoma geography , density inapima mkusanyiko wa watu, so kua low density inamaana mkusanyiko wa watu ni mdogo, then high, mkusanyiko ni mkubwa,
Mfano kiwanja cha sqm 1400 ambacho anaishi mtu mmoja mbezi beach ( low density), ukija magomeni kagera, tandale kwa tumbo, vingunguti kwa mnyaman au popote uswahilini , ni makazi ya watu kumi au zaidi( high density) ata ukiangusha kijiko jiran anasikia.
Hope nimejaribu kukuelewesha
una hela ya kununua kiwanja icho ? Au unataka wenye uwezo huo waishi na waswahili wakeshea vigodoro ?Kwanini waliopima viwanja masaki, Osterbay, mikocheni, mbezi beach, wasingepima kwa vipimo ivyo ivyo kwa maeneo ya sinza kijitonyama magomeni manzese au kuna mtu alizembea maeneo ayo?
Nimekuelewa, sikujua kama density hii ina apply kwenye eneo hiloKma utakua umesoma geography , density inapima mkusanyiko wa watu, so kua low density inamaana mkusanyiko wa watu ni mdogo, then high, mkusanyiko ni mkubwa,
Mfano kiwanja cha sqm 1400 ambacho anaishi mtu mmoja mbezi beach ( low density), ukija magomeni kagera, tandale kwa tumbo, vingunguti kwa mnyaman au popote uswahilini , ni makazi ya watu kumi au zaidi( high density) ata ukiangusha kijiko jiran anasikia.
Hope nimejaribu kukuelewesha
Kwa enzi za dhamani wazee wetu wange weza kinunua kama waliweza kununua maeneo mengi tu mjini kwa miaka iyo wangeweza tu kwa maana avikuwa bei kubwa , yan wangejitaid kuvipima ata nusu tu ya ukubwa wa Viwanja vya osterbay naamin sinza kijitonyama manzese kungekuwa kuzur sana.una hela ya kununua kiwanja icho ? Au unataka wenye uwezo huo waishi na waswahili wakeshea vigodoro ?
Kma utakua umesoma geography , density inapima mkusanyiko wa watu, so kua low density inamaana mkusanyiko wa watu ni mdogo, then high, mkusanyiko ni mkubwa,