bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Wakuu, habari za weekend.
Naomba kuelimishwa kidogo:
Naomba kuelimishwa kidogo:
- Hivi hadi kiwanja kiwe classified kama either LOW DENSITY, MEDIUM DESNITY au HIGH DENSITY kinatakiwa kuwa na VIPIMO (sqm) zipi?
- Napata wapi TABLE/SCHEDULE inayooonesha sizes mbalimbali za viwanja?