Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
Umefikia wapi mkuu? Biashara imeanza?Habari ya usiku wakuu. Asanteni sana kwa input zenu. Yote yaliyoshauriwa hapa nmeyafanyia kazi. Kwa sasa nipo stages za mwisho kusajili kampuni then kuanzia mwezi ujao may nifuatilie leseni ya kukopesha toka BOT. Mbarikiwe sana.
Vile vile napenda kujua kitu, napataje deduction code kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma ili kupata marejesho toka kwenye salalry slip? Asanteni