Niko vijijini huku nikifika mjini ntakutafutaMilion 5 kwa simu! Siri-kali itaanza kunifatilia na kunibambikia kesi ya uhujumu uchumi, wewe tukutane nikupatie keshi uzuri sinaga tamaa za kipuuzi maana mimi ni mtakatifu pale MT Adrew.
Kilichokuchosha??Nimechoka mimi
Hayo ndiyo maneno, usiwe na hofu kabisa mimi sifanyi biashara ya viungo.Niko vijijini huku nikifika mjini ntakutafuta
Serikali yakoKilichokuchosha??
Ifanyie kazi
🤣🤣🤣Hayo ndiyo maneno, usiwe na hofu kabisa mimi sifanyi biashara ya viungo.