Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

We jamaa sidhani kama uko sawa upstairs au umekurupuka, wapi Hayati aliambiwa hawezi kupona? nenda kasikilize upya na uelewe, kama unasema umesikiliza na kuelewa na kuchambua na huu ndo uchambuzi wako basi unamatatizo.
Amesema kuwa alipewa maono kuwa ni kama alijuwa kuwa hawezi kupona ndio maana alimwambia CDF kuwa awaamuru madaktari wampeleke kwao.usipende kukurupuka kama mlevi wa gongo
 
Ulitaka taharifa apewe na nani Lucas? Wa kumpa taharifa makamu ni katibu kiongozi au waziri mkuu. Hivyo waliitwa wajilizishe kama kweli uncle magu kavuta kamba. Ndo makamu akapewa taharifa ya kuutangazia umma
 
Magu akamwambia CDF wape amri hao madaktari wanirudishe nikafie chato.The voice of a strong leader.
Strong leader asiyeelewa utaratibu? Ndio maana alikataliwa na anaeelewa utaratibu,sio wote ni WA kutumia msuli badala ya akili.

Hapa CDF kamvua nguo huyo mtu wenu alikuwa hajielewi.CDF hawezi pokea Maelekezo ya mgonjwa ambae hana utimamu wa akili ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ile nafasi ya katibu tarafa waliotaka kukutunukia ushaipoteza.

Yani unahoji mamlaka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Wewe ulipaswa kusifia tu. Ilipaswa usifie jinsi gani uongozi ulimuonea huruma makamo wa raisi kwa kutokumpa habari za kushtua ghafla.
 
Kupewa taarifa na nani?
 
Amesema kuwa alipewa maono kuwa ni kama alijuwa kuwa hawezi kupona ndio maana alimwambia CDF kuwa awaamuru madaktari wampeleke kwao.usipende kukurupuka kama mlevi wa gongo
Hahaha..mtu hujui hata kutofautisha maono na kuambiwa uko hapa kuargue na walio timamu, pathetic f...
 
Rais Samia ni mteule wa Mungu.
Mara nyingi kama sio zote Mungu huwaficha wateule wake ili wasidhuriwe na waovu.
Dakika za mwisho ndio huwainua.
Asante Mungu kwa kutuinulia Mama huyu ambaye ametufuta machozi, ametufariji na ameturejeshea matumaini yaliyopotea.
 
Kupewa taarifa na nani?
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiongozwa na mkuu wa majeshi ambaye ndiye mwenyekiti wao.shida yako nilishakuambia wewe ni ngumu sana kuelewa jambo maana huwa husomi kwa hiyo akili yako ilishajifungia kwenye boksi. maana wenye akili hupata maarifa kutoka vitabuni na katika maandishi.sasa wewe utabaki na akili yako hiyo hiyo ya Ulanzi wa Don Bosco na mtuvila.
 
 
Kwanza nimeshanga kwa hali ile ya Rais Magufuli kuwa mgonjwa inakuwaje viongozi wote wa ngazi za juu wanakuwa mbali kikazi.
Usalama wa Rais sio jukumu lao Bali ni jukumu la vyombo.

Pili mtu mmja hata kama ni Rais hawezi zuia shughuli za serikali kuendelea maana Urais ni taasisi na Nchi sio Mali binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ