OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Walimpa tu, hukumbuki mkuu wa majeshi alivyompa uhakika? Punguani mama yakoAlipewa na nani wewe punguani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimpa tu, hukumbuki mkuu wa majeshi alivyompa uhakika? Punguani mama yakoAlipewa na nani wewe punguani?
Acha kuzunguka zunguka,elewa hoja ya mtoa madaRaisi anapokuwa hajiwezi nk nchi inakuwa chini ya vyombo vya ulinzi na usalama , kabla ya kukabidhiwa anaye husika
Amesema kuwa alipewa maono kuwa ni kama alijuwa kuwa hawezi kupona ndio maana alimwambia CDF kuwa awaamuru madaktari wampeleke kwao.usipende kukurupuka kama mlevi wa gongoWe jamaa sidhani kama uko sawa upstairs au umekurupuka, wapi Hayati aliambiwa hawezi kupona? nenda kasikilize upya na uelewe, kama unasema umesikiliza na kuelewa na kuchambua na huu ndo uchambuzi wako basi unamatatizo.
Ulitaka taharifa apewe na nani Lucas? Wa kumpa taharifa makamu ni katibu kiongozi au waziri mkuu. Hivyo waliitwa wajilizishe kama kweli uncle magu kavuta kamba. Ndo makamu akapewa taharifa ya kuutangazia ummaMimi nimeomba kuelimishwa kuwa anayefuatia kimamlaka baada ya Rais ni makamu wa Rais. anayetangaza kifo cha Rais kikitokea ni makamu wa Rais.sasa ni kwanini hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Rais wake? Kwanini walipewa viongozi wengine taarifa mapema ambao ni wadogo kimamlaka na kimadaraka kwa makamu wa Rais?
Strong leader asiyeelewa utaratibu? Ndio maana alikataliwa na anaeelewa utaratibu,sio wote ni WA kutumia msuli badala ya akili.Magu akamwambia CDF wape amri hao madaktari wanirudishe nikafie chato.The voice of a strong leader.
Kupewa taarifa na nani?Umeielewa hoja yangu lakini? Mara baada ya kifo kutokea na kuthibitishwa na madaktari ,waliokuwepo hapo walikuwa ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote watatu .sasa kwa akili yako ya kawaida kwa mujibu wa katiba unafikiri nani alipaswa kuwa wa kwanza kupewa taarifa?
Anadhani kila kinachosemwa ndio ukweli wenyewe ulivyo au ulivyokuwa !Lucas, Lucas, Lucas,
Hukufundwa vya kusema, na vipi vya kunyamaa?
Lucas haezi elewa maana ya picha hiyo,
Hahaha..mtu hujui hata kutofautisha maono na kuambiwa uko hapa kuargue na walio timamu, pathetic f...Amesema kuwa alipewa maono kuwa ni kama alijuwa kuwa hawezi kupona ndio maana alimwambia CDF kuwa awaamuru madaktari wampeleke kwao.usipende kukurupuka kama mlevi wa gongo
Yeye anaamini Makamo hakujua chochote😀Anadhani kila kinachosemwa ndio ukweli wenyewe ulivyo au ulivyokuwa !
Mengine huwa hayasemwi hadharani 😅😅😅🙏🙏
Makamu ni mkubwa juu ya wakuu wa vyombo ulinzi na usalamaHabari ya kua wakwanza kujua nani amefariki nimpango wa Mungu.
Waliokuepo karibu na mgonjwa ndio watakua wamwanzo kujua.
Pia elewa kwamba makamu wa Rais sio miongoni mwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiongozwa na mkuu wa majeshi ambaye ndiye mwenyekiti wao.shida yako nilishakuambia wewe ni ngumu sana kuelewa jambo maana huwa husomi kwa hiyo akili yako ilishajifungia kwenye boksi. maana wenye akili hupata maarifa kutoka vitabuni na katika maandishi.sasa wewe utabaki na akili yako hiyo hiyo ya Ulanzi wa Don Bosco na mtuvila.Kupewa taarifa na nani?
Nakuelewa sana
Sasa Kwa nini is trend wakati ni siku yake ya Kufa? By the way mwisho wa kutumia kifo kutafuta kiki ni baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025Naona imekuuma maana Kila mwaka mnafanya maadhimisho ya kuwepo madarakani Ila Sasa hivi habari inayotrend inamhusu Magufuli
Rais Samia ni mteule wa Mungu.
Mara nyingi kama sio zote Mungu huwaficha wateule wake ili wasidhuriwe na waovu.
Dakika za mwisho ndio huwainua.
Asante Mungu kwa kutuinulia Mama huyu ambaye ametufuta machozi, ametufariji na ameturejeshea matumaini yaliyopotea.
Usalama wa Rais sio jukumu lao Bali ni jukumu la vyombo.Kwanza nimeshanga kwa hali ile ya Rais Magufuli kuwa mgonjwa inakuwaje viongozi wote wa ngazi za juu wanakuwa mbali kikazi.