Naomba kuelimishwa

Mazoeya

Senior Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
102
Reaction score
84
Habari wadau wote wa jf, bila kupoteza muda naomba kuelimishwa na kujuzwa kuhusiana na hili nitakalolielezea.

Nimejamiiana bila kutumia Kinga, siku ya pili baada ya kumaliza hedhi, mzunguko wangu huwa unabadilika kwa siku 29,28,na,27 , je ninaweza kuwa nimepata mimba? Naomba mnijuze sina utaalam wa hili tafadhali, natanguliza shukran kwa wachangiaji wote mtajaochangia.
 
Huwez kupata mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh asee nashangaa Kwa mwanamke kuuliza hili swali, Ilitakiwa uwe unajua, ndio maana mimba zisizotarajiwa ni nyingi kwani hii elimu ambayo ni ya msingi kabisa watu wameikosa. Hii ni changomoto saana!

Anyway hautapata mimba
 
[emoji848] haiwezi akawa msichana anakuja uliza siku zake kama atapata mimba au la itakuwa ni mdau kashafanyaa yake ila sio mbayaa wananzengo kituo cha pili karibu na geti la shule ya msingi nishusheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa style hii tuendelee kutegemea mimba nyingi zisisotarajiwa. Wadau washajibu kuwa huwezi pata mimba katika hali ya kawaida ya mwenendo wa binadamu.
 
Kwa style hii tuendelee kutegemea mimba nyingi zisisotarajiwa. Wadau washajibu kuwa huwezi pata mimba katika hali ya kawaida ya mwenendo wa binadamu.
Katika hall nyingine hiii imekaa vipi?
 
Nimeamua kuuliza baada ya kusoma sehemu kwamba mtu ambae mzunguko wake hauko costant ,kwa siku 28, sikuu yake ya hatari haitabiriki
 
Ndani ya siku mbili baada ya kumaliza hedhi ni salama na ni vema ukaepuka kufanya mapenzi mpaka wiki moja na nusu kabla ya siku unayotegemea kwenda hedhi nazo ni salama kwa kiasi kikubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukran mkuu
 
We Mazoeya na mazoeya yako hayo ipo siku yataku-cost!upo jukwaani hapa huoni single mama wenzako wanavyolalamika na kuhaha?

Unachokitafuta soon utakipata!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mkuu ingekuwa vizuri ukanifafanulia kauli yako ili nieke Niko njia panda.
We Mazoeya na mazoeya yako hayo ipo siku yataku-cost!upo jukwaani hapa huoni single mama wenzako wanavyolalamika na kuhaha?

Unachokitafuta soon utakipata!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…