Habari wadau wote wa jf, bila kupoteza muda naomba kuelimishwa na kujuzwa kuhusiana na hili nitakalolielezea.
Nimejamiiana bila kutumia Kinga, siku ya pili baada ya kumaliza hedhi, mzunguko wangu huwa unabadilika kwa siku 29,28,na,27 , je ninaweza kuwa nimepata mimba? Naomba mnijuze sina utaalam wa hili tafadhali, natanguliza shukran kwa wachangiaji wote mtajaochangia.