Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Ukiangalia kwenye mbao za matangazo za "exchange rate" utaona "denomination" tofauti ambazo ni za "currency" moja zinauzwa kwa bei tofauti,mfano "USD 1 ,2 denominations" zinabadilishwa kwa bei tofauti na "USD 5,10 denomination "etc naomba majibu ya kisomi na kistaarabu,yasiyokuwa na nia ya kumkwaza mtu yeyote,asanteni.