Naomba kuelimishwa

Naomba kuelimishwa

Umuhirindahu

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
349
Reaction score
170
Ukiangalia kwenye mbao za matangazo za "exchange rate" utaona "denomination" tofauti ambazo ni za "currency" moja zinauzwa kwa bei tofauti,mfano "USD 1 ,2 denominations" zinabadilishwa kwa bei tofauti na "USD 5,10 denomination "etc naomba majibu ya kisomi na kistaarabu,yasiyokuwa na nia ya kumkwaza mtu yeyote,asanteni.
 
hapa naona hakuna mchangiaji....walio somea uchumi wako wapi???
 
Back
Top Bottom