Naomba kufaamishwa, kwenye king'amuzi cha dstv, nichaneli namba ngapi wanaonesha kombe la matafa ya afrika?

Lukataluko

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
1,345
Reaction score
1,572
Wakuu natamani kuangalia game ya stars na senegal, sifahamu ni chaneli zipi wanaonesha naomba msaada kwa wanao fahamu tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…