Lukataluko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,345
- 1,572
Wakuu natamani kuangalia game ya stars na senegal, sifahamu ni chaneli zipi wanaonesha naomba msaada kwa wanao fahamu tafadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
207, 208Wakuu natamani kuangalia game ya stars na senegal, sifahamu ni chaneli zipi wanaonesha naomba msaada kwa wanao fahamu tafadhari.
Thanks a lot .207, 208
Ila ningejua stars watacheza mpira mbovu hivi nigelala tuu maana sijawahi ona game mbovu kaa hii, wachezaji hawajitumi sijui tatizo nn, nimeboreka kinoma.