Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Ngoja wajuvi waje watuambie zina shida ganHizo Gari nyingi huwa naziona zinageuzwa kuwa mabanda ya kufugia njiwa..sijui nini tatizo
Mkuu umeshaziona wapi? na ngapi?msipende kuwakatisha tamaa wengine,huenda wewe huna hata baiskel ila ni mpondaji maarufu wa magari.Hizo Gari nyingi huwa naziona zinageuzwa kuwa mabanda ya kufugia njiwa..sijui nini tatizo
Nashukur sn mkuuu mana nilikua nataka kujua kuhusu uimara wake na vitu vingine ...hope wajuv zaid watakuja na solution...shukran sn kakaMkuu humu watu wengi ni washamba japo wanajiona wamezaliwa mijini lakini awajielewi kwakua wengi ukiwafutilia maisha yao ya kiujanjaunja sasa mkuu ukitaka kujua watu wa jf ovyo onba ata ushauri wa marazi tu!watakukatisha tamaa ila kama wewe ni mpambana nunua hiyo gari maana mbon zipo tu road mchawi matunzo
Wakuu turud kwenye mada ya msingi hakuna haja ya kurushiana manenoKwani wewe Ni nani?
Ni mmiliki wa magari tofauti na wewe mmiliki wa baiskeliKwani wewe Ni nani?
Mkuu hiyo chombo haina shida,na siku zote ukinunua gari mpya na ukafata masharti ya service unaweza kaa miaka mingi bila kupata tatizoWakuu turud kwenye mada ya msingi hakuna haja ya kurushiana maneno
Thanks much mkuuMkuu hiyo chombo haina shida,na siku zote ukinunua gari mpya na ukafata masharti ya service unaweza kaa miaka mingi bila kupata tatizo
Thanks much mkuuMkuu hiyo chombo haina shida,na siku zote ukinunua gari mpya na ukafata masharti ya service unaweza kaa miaka mingi bila kupata tatizo
Hizi zipo nyingi tu watu wanadunda nazo
Kimsingi we usisnunue hili gari,period!!...sababu hakuna,ukinunua usije kulia lia huku tenaWadau mwenye ufahamu na hii gari atujuze mana nategemea baadaye mambo yakikaa vizuri basi nione mchongo wa kuimiliki. Naona ni gari ya juu halaf cc 1590 tu.
Wazoefu na wadau msaada please.
View attachment 1453652
Wewe ungekuwa siyo mshamba usingeandika "marazi"Mkuu humu watu wengi ni washamba japo wanajiona wamezaliwa mijini lakini awajielewi kwakua wengi ukiwafutilia maisha yao ya kiujanjaunja.
Sasa mkuu ukitaka kujua watu wa jf ovyo onba ata ushauri wa marazi tu!
watakukatisha tamaa ila kama wewe ni mpambana nunua hiyo gari maana mbon zipo tu road mchawi matunzo
Unataka kusema hakuna gari nyingine walizotelekeza watu?Ila hiyo tu? Gari ni matunzo na kuipatia inachotaka kwa wakati tu,ukiwa mmbahili lazima utasema gari flani ni mbovu,wakati mbovu ni weweShida Ni kwamba kila mtu anaweza andika na kujitapa..pita pale sinza madukani road tu utaikuta hiyo chuma imetelekezwa pale..Hadi mafundi jiko wameisusa
Wadau mwenye ufahamu na hii gari atujuze mana nategemea baadaye mambo yakikaa vizuri basi nione mchongo wa kuimiliki. Naona ni gari ya juu halaf cc 1590 tu.
Wazoefu na wadau msaada please.
View attachment 1453652
Shukran sn mkuu,barikiwa snHabari Za kazi kiongozi
Ni gari nzuri sana ina mazuri zaidi sababu ya kuwa imenyanyuka sana hivyo basi inafaa sana kwa watu wa aina mbalimbali kama wale wanaishi vijijini kwa maana ya wale wanaotumia barabara ya vumbi lakini kumbuka kuwa pindi ununuapo
Zingatia service ya wakati na kuwa makini zaidi kwa muda husika na tena iliyorecomendiwa
Pindi upatapo tatizo achana na mafundi waliosoma magari ya mwaka 70 tafuta mafundi au gereji za hali ya juu zaidi
Kumbuka uanzapo kutumia usishangae kupata bei ya spea ikiwa imechanganya ila ukifunga umefunga na kwa saizi inakuwa shida kujua spea ipi oji maana hata feki utauziwa kwa bei ya oji
Sent using Jamii Forums mobile app