Habari Za kazi kiongozi
Ni gari nzuri sana ina mazuri zaidi sababu ya kuwa imenyanyuka sana hivyo basi inafaa sana kwa watu wa aina mbalimbali kama wale wanaishi vijijini kwa maana ya wale wanaotumia barabara ya vumbi lakini kumbuka kuwa pindi ununuapo
Zingatia service ya wakati na kuwa makini zaidi kwa muda husika na tena iliyorecomendiwa
Pindi upatapo tatizo achana na mafundi waliosoma magari ya mwaka 70 tafuta mafundi au gereji za hali ya juu zaidi
Kumbuka uanzapo kutumia usishangae kupata bei ya spea ikiwa imechanganya ila ukifunga umefunga na kwa saizi inakuwa shida kujua spea ipi oji maana hata feki utauziwa kwa bei ya oji
Sent using
Jamii Forums mobile app