Naomba kufafanuliwa kuhusu gari aina ya Honda HR-V

Nakubaliana na wewe mkuu hizi unique cars kwa TZ ni shida. Kwanza mafundi wetu wengi wanatengeneza magari kwa experience na sio knowledge ya ufundi. So probability ya kuua gari ni kubwa. Pili resale value ni ndogo sana. Mimi before nilileta ubishi ila baada ya kutumia different brands na kuexperience shida zake nilisalimu amri na kurudi toyota as main car hizi nyingine ni kama alternative la show off. Siku nikipata hela ya kuingia CMC, CFAO au authorized dealer yoyote then ndo ntachange mentality ya Toyota as a main car
 
Mmmh me nadhani ni sheria kukagua gari lolote kabla hujaanza safari...
Hii haijalishi aina ya gari bosi...
Kuna panya wanaweza wakala hata waya, au wakatoboa pipe ya maji.....hili limewakuta watu wengi sana....

Huwezi kuanza safari ya Ndefu kitaamu bila kukagua gari ujiridhishe
 
Mkuu wabongo shida yetu kubwa sio kununua gari shida ni kulihudumia hapo tu ndio wananichosha ni wa bahili hakuna mfano
 
Ndio uweke hapa mkuu ila kusaidia wengi lkn moja kat ya brand ya honda iliyouza sn beforward ni hii hr v we ingia utajionea mwenyewe na hata nyingi zilizopo ni zile new model ila old model zipo chache sn na zimeuzwa sn na sidhan km zingekuwa zinasumbua bas watu wangezikimbilia
 
Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…