mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Pamoja sana mkuu.Uko vizuri bac nitajifunza mengi kwako mkuu p1 sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu.Uko vizuri bac nitajifunza mengi kwako mkuu p1 sana
Nakubaliana na wewe mkuu hizi unique cars kwa TZ ni shida. Kwanza mafundi wetu wengi wanatengeneza magari kwa experience na sio knowledge ya ufundi. So probability ya kuua gari ni kubwa. Pili resale value ni ndogo sana. Mimi before nilileta ubishi ila baada ya kutumia different brands na kuexperience shida zake nilisalimu amri na kurudi toyota as main car hizi nyingine ni kama alternative la show off. Siku nikipata hela ya kuingia CMC, CFAO au authorized dealer yoyote then ndo ntachange mentality ya Toyota as a main carKuna gari ukinunua hakikisha uko mikoa mikubwa (Dar,Arusha,Mwanza,Dom) na mikoa ya dizaini hio kwa ajili ya kupata urahisi wa ufundi na Spares ila watu hili hua wanalipuuza especially watu wanaoanza kumiliki magari kwa mara ya kwanza.
Kuna mwana alikua anataka kununua mazda cx-5 ya 2006 kipindi hicho,alikua anakaa huko katavi ndani ndani tukamwambia hio gari ni poa lkn angalia urahisi wa kupata service parts/Spares/Service akaona tunazingua.
Engine oil iliyokua recomended kwny gari ile ni Synthetic 5w-30 huko aliko haipo kabisa,yeye akaweka zile za bei chee za SAE 40,Transmission oil inatakiwa ATF M-V huko alipo haipo yeye akawa anaweka hizi za General,kupata service parts tu ikawa changamoto,Spea akawa anasema dunia ni kijiji nitaagiza kutoka nje tukamwambia fresh tu,kama uko tayari kitu kidogo tu kama Upper&Lower control arms kikizungua itabidi uagize nje huku muda huo gari imepaki basi fresh tu.
Miaka 2 mingi gari yake ilikaa juu ya mawe akaja kumuuzia mwana wa huko Mwz kwa bei ya kutupa.
Mmmh me nadhani ni sheria kukagua gari lolote kabla hujaanza safari...Ebu tuambie bajeti yako ili tukushauri gari ya kununua uachane na huu utopolo. Take it from me, usinunue hili gari unless umepata experience from trusted previous owner wa hii brand. Inakera kuwa na gari ambayo huwezi iwasha na kuanza safari bila kucheki cheki vitu kama fundi garage.
Kuna gari ukinunua hakikisha uko mikoa mikubwa (Dar,Arusha,Mwanza,Dom) na mikoa ya dizaini hio kwa ajili ya kupata urahisi wa ufundi na Spares ila watu hili hua wanalipuuza especially watu wanaoanza kumiliki magari kwa mara ya kwanza.
Kuna mwana alikua anataka kununua mazda cx-5 ya 2006 kipindi hicho,alikua anakaa huko katavi ndani ndani tukamwambia hio gari ni poa lkn angalia urahisi wa kupata service parts/Spares/Service akaona tunazingua.
Engine oil iliyokua recomended kwny gari ile ni Synthetic 5w-30 huko aliko haipo kabisa,yeye akaweka zile za bei chee za SAE 40,Transmission oil inatakiwa ATF M-V huko alipo haipo yeye akawa anaweka hizi za General,kupata service parts tu ikawa changamoto,Spea akawa anasema dunia ni kijiji nitaagiza kutoka nje tukamwambia fresh tu,kama uko tayari kitu kidogo tu kama Upper&Lower control arms kikizungua itabidi uagize nje huku muda huo gari imepaki basi fresh tu.
Miaka 2 mingi gari yake ilikaa juu ya mawe akaja kumuuzia mwana wa huko Mwz kwa bei ya kutupa.
Ndio uweke hapa mkuu ila kusaidia wengi lkn moja kat ya brand ya honda iliyouza sn beforward ni hii hr v we ingia utajionea mwenyewe na hata nyingi zilizopo ni zile new model ila old model zipo chache sn na zimeuzwa sn na sidhan km zingekuwa zinasumbua bas watu wangezikimbiliaEbu tuambie bajeti yako ili tukushauri gari ya kununua uachane na huu utopolo. Take it from me, usinunue hili gari unless umepata experience from trusted previous owner wa hii brand. Inakera kuwa na gari ambayo huwezi iwasha na kuanza safari bila kucheki cheki vitu kama fundi garage.
NotedKuna gari ukinunua hakikisha uko mikoa mikubwa (Dar,Arusha,Mwanza,Dom) na mikoa ya dizaini hio kwa ajili ya kupata urahisi wa ufundi na Spares ila watu hili hua wanalipuuza especially watu wanaoanza kumiliki magari kwa mara ya kwanza.