james nderimo
Member
- Jul 7, 2011
- 20
- 8
314/15/16 ndo nn?.Nadhani wana-award framework contract kila baada ya miaka 3 with effect from April 2014.I stand to be corrected
Mkuu mwambie asubiri awamu ya pili cz gpsa inatabia ya kutoa majina kwa awamu na kama akikosa itakuwa basi tena mpaka mwaka 2017/2018 financial yrHabari wana jamvi.
Kuna jamaa yangu, ana kampuni ya usafi, ali omba maombi ya kusajiliwa na gypsa. Sasa majibu yametoka na amekosa zabuni. Kwa mujibu wa Gpsa, zabuni ni kuanzia mwaka 14/15/16/. Je? Inamaana atabidi asubiri mpka 2016 aombe tena?
from 01 July 2014
Mbona hadi leo hii 30/06/2014 majina yenyewe bado hayajatoka?
Wameshatoa baadhi nenda kwenye website ya gpsa:Government Procurement Services Agency