Naomba kufaham kuhusu GPSA

Naomba kufaham kuhusu GPSA

james nderimo

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
20
Reaction score
8
Habari wana jamvi.
Kuna jamaa yangu, ana kampuni ya usafi, ali omba maombi ya kusajiliwa na gypsa. Sasa majibu yametoka na amekosa zabuni. Kwa mujibu wa Gpsa, zabuni ni kuanzia mwaka 14/15/16/. Je? Inamaana atabidi asubiri mpka 2016 aombe tena?
 
314/15/16 ndo nn?.Nadhani wana-award framework contract kila baada ya miaka 3 with effect from April 2014.I stand to be corrected
 
14/15/16 ndo nn?.Nadhani wana-award framework contract kila baada ya miaka 3 with effect from April 2014.I stand to be corrected
 
Habari wana jamvi.
Kuna jamaa yangu, ana kampuni ya usafi, ali omba maombi ya kusajiliwa na gypsa. Sasa majibu yametoka na amekosa zabuni. Kwa mujibu wa Gpsa, zabuni ni kuanzia mwaka 14/15/16/. Je? Inamaana atabidi asubiri mpka 2016 aombe tena?
Mkuu mwambie asubiri awamu ya pili cz gpsa inatabia ya kutoa majina kwa awamu na kama akikosa itakuwa basi tena mpaka mwaka 2017/2018 financial yr
 
hiki kidesa cha GPSA mbona kigumu kuelewa?? Naomba kujuzwa aiseee..
 
Naomba mwenye uwelewa na jinsi ya kujiunga GPSA anisaidie kunipa muongozo
 
Back
Top Bottom