Naomba kufaham kuhusu Mkopo wa elimu PSPF

Naomba kufaham kuhusu Mkopo wa elimu PSPF

kindondindo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
503
Reaction score
149
Hivi hawa jamaa nikweli wanatoa mkopo wa elimu kwa wanachama wao?

Kama wanatoa mchakato wakupata huo mkopo ukoje!
 
Ni wa elimu tu ? Maendeleo mengine? Wakifanya hivyo mie nitakuwa wa kwanza!
 
Back
Top Bottom