Naomba kufaham kwa wenye application playstores

kijana255

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
277
Reaction score
261
Je kuna sheria yoyote au taratibu za kufuata pale unapotaka ku lunch application play stores ili kuitumia kibiashara... Nawasilisha wadau
 
Je kuna sheria yoyote au taratibu za kufuata pale unapotaka ku lunch application play stores ili kuitumia kibiashara... Nawasilisha wadau
Sheria zipo lakini sijui unataka kujua sheria za google au tcra
 
Swali alilouliza jamaa hata Mimi nilikuwa nalo kichwani mwangu na nimemuelewa vizuri sana.
Huyu anataka kujua akishaanzisha application playstore akaanza kufanyia kazi na kuingiza pesa kupitia Google,je atakuwa na usalama kiasi gani?
Kuna kitu Cha ziada Cha kufanya kupitia mamlaka za serikali like tcra?
Na kutofanya hivyo hukutamfanya kuwa hatiani, kutafutwa na watu wa serikali na kupewa kesi za kukwepa kodi au uhujumu uchumi?
Hiyo ndio wasiwasi yake.
 
Ya hilo ndo swali langu exactly Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…