Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zipo lakini sijui unataka kujua sheria za google au tcraJe kuna sheria yoyote au taratibu za kufuata pale unapotaka ku lunch application play stores ili kuitumia kibiashara... Nawasilisha wadau
anataka sheria za google playstore na sio TCRASheria zipo lakini sijui unataka kujua sheria za google au tcra
Ya hilo ndo swali langu exactly Asante sana mkuuSwali alilouliza jamaa hata Mimi nilikuwa nalo kichwani mwangu na nimemuelewa vizuri sana.
Huyu anataka kujua akishaanzisha application playstore akaanza kufanyia kazi na kuingiza pesa kupitia Google,je atakuwa na usalama kiasi gani?
Kuna kitu Cha ziada Cha kufanya kupitia mamlaka za serikali like tcra?
Na kutofanya hivyo hukutamfanya kuwa hatiani, kutafutwa na watu wa serikali na kupewa kesi za kukwepa kodi au uhujumu uchumi?
Hiyo ndio wasiwasi yake.