samwel phanuel
Member
- Jun 23, 2020
- 17
- 7
Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii
1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ?
2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya ulinzi wa Raia na malizao
3) Uwajibishwaji wao ukoje inapotokea wamefanya uzembe na kusababisha hasara ya kupotea kwa Mali ya Raia au kujeruiwa halina yeye amewekwa kwa jukumu hilo na analipwa
4) Je, Wanatambuliwa kwa njia gan kuwa wao ndio usalama wa eneo husika je wanavitambulisho, sare au alama yoyote itakqyomsaidia Raia kujua huyu ni Mlinzi wangu au huyu ni mtu tofauti anataka kunivamia?
Mwisho kabisa sheria inasemaje endapo hawa ulinzi shirikishi wakavunja haki ya faragha ya mtu majirq ya usiku kuanzia saa 6 usiku na kuendelea anatuhumiwa kama mualifu au inasemaje?
Wachambuzi naombeni mawazo na elimu juu ya hili jambo