Dah mdau cdhan kama iyo taarifa ni ya kweli ya mgomba kuwa na mikungu miwiliNimesikia kuna aina mpya za migomba ambayo huzaa mikungu miwili katika mgomba mmoja, kama kuna yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anijulishe, inaitwaje na ni wapi naweza kupata miche yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbegu yake inapatikana wapi.?Japo picha Sina Ila Ni kweli hiyo Aina ya migomba ipo
Mimi mkulima
Katika kusoma kwangu na kufanya niliyofanya kwa ukweli niandike HAPANA.Nimesikia kuna aina mpya za migomba ambayo huzaa mikungu miwili katika mgomba mmoja, kama kuna yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anijulishe, inaitwaje na ni wapi naweza kupata miche yake.
Sent using Jamii Forums mobile app