Naomba kufahamishwa bei ya bajaji mpya na mtumba

Naomba kufahamishwa bei ya bajaji mpya na mtumba

Bajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.

Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.

Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.

Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.

Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.

Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.

Kama una macho na ulione andiko hili.

Kila la heri mkuu.
We jamaa sio mchoyo aisee.... Zidishiwa moyo huo huo
Watu wengi wanazisifia Boxer mkuu. Na hata ukiangalia bei yake pia ni tofauti ni hizi Fekon, Sanlg n.k

Ila fanya kwanza research japo maduka mawili matatu kabla ya kufanya maamuzi coz kila siku kuna vyombo vipya vinaingia kiongozi.

Thanks a lot.
 
Bajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.

Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.

Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.

Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.

Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.

Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.

Kama una macho na ulione andiko hili.

Kila la heri mkuu.
Kwa experience bora achukue bajaji achana na bodaboda. Kwanza zinachakaa mapema kuliko bajaji let say mwaka tu choka mbaya, kubwa kuliko madhira ya wale wanaoendesha bodaboda hayaambiliki tofauti na bajaji yanaunafuu, tatu ni kweli unaweza kupata 15 kwa siku kwa bajaji lkn ni nadra kumpata dereva wa boda ataelipa 10 wengi wao ni elfu 8 labda uingie nao mkataba ndio utapata hio 10 kwa bodaboda.
 
Hamna sababu ya kukaa na chombo mpaka kichakae mkuu.

Inapotimia let's say mwaka tu unakiuza unachukua mpya.

Hivyo Yaani.
 
Pikpik ya mkataba nzuri zaidi haikupi Nazi kuisimamia bali inakuwanaiendesha yenyewe ww Nazi yako nkupiga mahesabu tuu,
 
Mkuu hapo inategemea mahali ulipo ila ukiwa na pikipiki 3 au 4 ni pesa nzuri sana kama utapata watu wa mkataba ambayo kwa sasa wanaleta 77,000/= kwa wiki mda mwaka 1 inakua yake so ukiwa na 4 utapata 308,000/= kwa wiki kama tu umewakabidhi boxer 150 mpya au TVs 150 mpya, ivo ukiwa vizur ndani ya miezi 8 kila pikipiki inanunua mwenzake inabaki faida tu ambapo zile zinapoisha zinakuta una nyingine 3 au 4
 
Hiyo ni kwa mijini ila kama kijijini nunua pikipiki hii inaitwa honjue 125cc ni nzuri sana na ngumu ila tu kama unampa mtu wa kuleta per day uwa unaweka makubaliano ya maandish akiarbu a atengeneza ukiwa mpya analeta 10,000 ikichakaa huwa inashuka mpaka 8elf ila pikipiki inakua yako so kuitunza ni vema sana ili ikulipe
 
Upande wa pikipiki napenda kutoa ushauri, pikipiki ya mkataba ni nzur sana kuliko ya esabu ya kila siku, mara chache sana au hadimu sana kupata hasara kwenye pikipik ya mkata, mfano unanunua pikipik then unakubaliana na kijana akuletee kiasi flani cha pesa ndan ya mda flani pikipik inakua yake, mfano kila siku anakulete 10000 kwa mda wa miezi 12 kwa makadirio itakua ml3.6 kama pikipiki ulinunua ml1.5 faida n 2.1 l, ndo biashara yangu hii, inalipa, boxer kwa upande wa mjini mpka 15000 per day ndan ya miez 10
Mkuu, vipi kuhusu Mkataba wa Bajaji unaweza kuwa miaka mingapi ?
 
Back
Top Bottom