mangi meri
Senior Member
- Aug 13, 2017
- 116
- 151
We jamaa sio mchoyo aisee.... Zidishiwa moyo huo huoBajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.
Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.
Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.
Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.
Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.
Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.
Kama una macho na ulione andiko hili.
Kila la heri mkuu.
Watu wengi wanazisifia Boxer mkuu. Na hata ukiangalia bei yake pia ni tofauti ni hizi Fekon, Sanlg n.k
Ila fanya kwanza research japo maduka mawili matatu kabla ya kufanya maamuzi coz kila siku kuna vyombo vipya vinaingia kiongozi.
Thanks a lot.
Kwa experience bora achukue bajaji achana na bodaboda. Kwanza zinachakaa mapema kuliko bajaji let say mwaka tu choka mbaya, kubwa kuliko madhira ya wale wanaoendesha bodaboda hayaambiliki tofauti na bajaji yanaunafuu, tatu ni kweli unaweza kupata 15 kwa siku kwa bajaji lkn ni nadra kumpata dereva wa boda ataelipa 10 wengi wao ni elfu 8 labda uingie nao mkataba ndio utapata hio 10 kwa bodaboda.Bajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.
Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.
Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.
Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.
Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.
Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.
Kama una macho na ulione andiko hili.
Kila la heri mkuu.
Kwa experience bora achukue bajaji achana na bodaboda. Kwanza zinachakaa mapema kuliko bajaji let say mwaka tu choka mbaya, kubwa kuliko madhira ya wale wanaoendesha bodaboda hayaambiliki tofauti na bajaji yanaunafuu, tatu ni kweli unaweza kupata 15 kwa siku kwa bajaji lkn ni nadra kumpata dereva wa boda ataelipa 10 wengi wao ni elfu 8 labda uingie nao mkataba ndio utapata hio 10 kwa bodaboda.
Naona kama ni uwekezaji mzuriPikpik ya mkataba nzuri zaidi haikupi Nazi kuisimamia bali inakuwanaiendesha yenyewe ww Nazi yako nkupiga mahesabu tuu,
Nunua mpyaJaman mi nataka kununua bajaj ninunue mpya au ilio Keisha kutumika?
Mkuu, vipi kuhusu Mkataba wa Bajaji unaweza kuwa miaka mingapi ?Upande wa pikipiki napenda kutoa ushauri, pikipiki ya mkataba ni nzur sana kuliko ya esabu ya kila siku, mara chache sana au hadimu sana kupata hasara kwenye pikipik ya mkata, mfano unanunua pikipik then unakubaliana na kijana akuletee kiasi flani cha pesa ndan ya mda flani pikipik inakua yake, mfano kila siku anakulete 10000 kwa mda wa miezi 12 kwa makadirio itakua ml3.6 kama pikipiki ulinunua ml1.5 faida n 2.1 l, ndo biashara yangu hii, inalipa, boxer kwa upande wa mjini mpka 15000 per day ndan ya miez 10
Inategemea na nyie makubaliano yenu...mwaka mmoja au miwili na kuendeleaMkuu, vipi kuhusu Mkataba wa Bajaji unaweza kuwa miaka mingapi ?
mi nipo Dodoma mkuu nahitaji fekon mpya kutoka dukani sijui zinaendajeWewe upo mkoa gani hapa tanzania?na wataka bajaj ya abiria au mizigo?