Amani Mazukwi
Member
- Dec 31, 2013
- 9
- 0
Nicheki nafanya installation,na Utaweza kuonekana kwenye Simu yako popote ulipo duniani, ni pmNahitaji ni pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki nafanya installation,na Utaweza kuonekana kwenye Simu yako popote ulipo duniani, ni pmNahitaji ni pm
Muanzisha uzi fuata ushauri wa ndugu huyu, amefafanua vilivyo.Ungetaja sehemu unapotaka kufunga hizo kamera ili iwe rahisi kwa wataaramu kukushauri ufunge cctv za namna gani na bei zake. Siyo kila kamera inaweza fungwa popote, mteja usiangalie unafuu wa bei pekeyake, angalia pia ubora + kamera sahihi kwa kazi unayotaka ifanye. Kamera zipo nyingi na zenye uwezo tofauti, mfano kamera za nje kuna fixed na PTZ (waterproof, na kuna ambazo siyo waterproof), uwezo wa lenzi pia upo tofauti kutegemea na mahitaji yako, pia kuna mambo ya day & night - kuna nyengine hazina uwezo wa kuchukua picha usiku kwenye giza. Upande wa kurekodi kuna DVR & NVR, pia kuna HDD ila ukubwa wa kuhifadhi itategemeana na matumizi yako, jaribu kuongea na mtaara akushauri ni vitu gani unapaswa kununua. Zile kamera ambazo zinauzwa kwa seti kwny box moja, mfano kamera 4 + dvr, kamera zake zinakuwaga hazina ubora sana ktk picha kulingana na sehemu utakayoenda kufunga.
Huo ndiyo uelewa wangu mdogo ktk cctv, hope wahusika au wadau wa hiyo fani watakueleza kiundani.