Naomba kufahamishwa clinic nzuri kwa mamakijacho

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Habri wana Jf, naombeni msaada wa kujua clinic nzuri kwa mama mjamzito.
Sijaanza clinic bado, nataka clinic ambayo inakua kama vile ya private doctor yaani nakua naenda kwa apointment...sitaki zile za kujazana hospitali wengii mnapanga foleni.

Kwa anayejua naomba msaada anisaidie kama anajua jina la hospital, hata namba ya simu na jinsi ya kujiunga na hiyo clinic . Pia ninge prefer iyo clinic au hospital ya doctor private iwe inatumia kadi za NHIF.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda pale maria clinic kwa profesa mgaya
 
Habari,

Mke wangu anaenda London Health centre- Kimweri road Msasani ana Gynacologist wake na hakuna hata foleni.
Pia anaendaga Msasani Penisular, Sali International Masaki, Premier CARE Masaki, na sometime huwa anaendaga Medi cops. Kuhusu NHIF sina uhakika ila unaeza chek kwenye web zao. Mi wangu anatumia corporate insurance.

Hope nimesaidia.
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom