Kituo cha mbuyuni
Wacha maneno wwWewe kama vile meanie wangu halafu hapo juu unatafuta mwanaume
Maneno Gani? Bahia kama wewe ni wa kwangu halafu bado unatafuta.kama ni wewe kweli nitakutundunda had ukomeWacha maneno ww
Ndo mambo ambayo siyapendi hayo, kudundana tenaManeno Gani? Bahia kama wewe ni wa kwangu halafu bado unatafuta.kama ni wewe kweli nitakutundunda had ukome
Habari,Habri wana Jf, naombeni msaada wa kujua clinic nzuri kwa mama mjamzito.
Sijaanza clinic bado, nataka clinic ambayo inakua kama vile ya private doctor yaani nakua naenda kwa apointment...sitaki zile za kujazana hospitali wengii mnapanga foleni.
Kwa anayejua naomba msaada anisaidie kama anajua jina la hospital, hata namba ya simu na jinsi ya kujiunga na hiyo clinic . Pia ninge prefer iyo clinic au hospital ya doctor private iwe inatumia kadi za NHIF.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo yupo Kenya.Kwa Dk. Mwaka.
Asante sanaHabari,
Mke wangu anaenda London Health centre- Kimweri road Msasani ana Gynacologist wake na hakuna hata foleni.
Pia anaendaga Msasani Penisular, Sali International Masaki, Premier CARE Masaki, na sometime huwa anaendaga Medi cops. Kuhusu NHIF sina uhakika ila unaeza chek kwenye web zao. Mi wangu anatumia corporate insurance.
Hope nimesaidia.