Naomba kufahamishwa fursa na maisha nchini Qatar

Naomba kufahamishwa fursa na maisha nchini Qatar

FamousinTown

Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
61
Reaction score
37
Wasalaam!

Naomba kujua gharama, Maisha na fursa zinazopatikana nchini Qatar kwa wanaoishi huko au waliowahi kuishi huko.
 
kama kweli ww ni FamousinTown nakushauri tumia u-famous wako kama fursa hapahapa bongo. Naamini utatoboa tu mkuu
 
Back
Top Bottom