ubarikiwe sanaHii hapa budget yangu Vs Actual.. tena hapo cement nimepigwaa.. 15,000/ mpaka site sio 16,000/
View attachment 1926030
Nenda kajenge kakaa, wasikukatishe tamaa... narudia tena.. nenda kajenge kijana mwenzanguuu.. na Mungu akutie nguvu kwenye hilo..
Atalala hospitali ama nyumba za wageniNyumba vyumba vitatu
watoto watatu
msichana wa kazi mmoja
baba mkwe mmoja kaja matibabu
hebu nipangie, mnalalaje ????
Atalala hospitali ama nyumba za wageni
Nimeishi nyumba ya vyumba viwili vya kulala (kimoja cha wazazi) na jiko na sebule mule ndani tulikua sio chini ya 15...familia ilikuja kupungua baadae sana baada ya mzee kufariki.Na hao watoto watatu akija binamu yao kafunga shule darasa la sita kaja kuwatembelea wenzake wiki mbili, mtoto wa kike, na yeye unamtia guesti ?
Inategemea ni eneo gani, kama ni flat land, Mil 3.5, unamaliza kila kitu hadi kufunga mkanda na kumlipa fundiHabari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani...
Jenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule na dining and jiko. Nyumba iwe ya size isiwe na makorokocho mengi. Thena kauwezo kakiongezeka, piga nyumba nyngne ya darasa vyumba viwili na stoo, hapo ni kwa wageni na mfanyakaziKwanza sidhani kama rules and regulations za nyumba za wageni zinawaruhusu ku host wagonjwa...
Yaani hiyo nyumba ya vyumba 3 kubwa sana, siku hizi si za kujenga mavyumba eti 8, hata upangishaji ni mgumu. Babu atalala na wajukuu tumia double deka. Watoto wenyewe unawPeleka boarding tangu primary.Nyumba vyumba vitatu
watoto watatu
msichana wa kazi mmoja
baba mkwe mmoja kaja matibabu
hebu nipangie, mnalalaje ????
Yaani hiyo nyumba ya vyumba 3 kubwa sana, siku hizi si za kujenga mavyumba eti 8, hata upangishaji ni mgumu. Babu atalala na wajukuu tumia double deka. Watoto wenyewe unawPeleka boarding tangu primary.
Jenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule na dining and jiko. Nyumba iwe ya size isiwe na makorokocho mengi. Thena kauwezo kakiongezeka, piga nyumba nyngne ya darasa vyumba viwili na stoo, hapo ni kwa wageni na mfanyakazi
Ndugu, vyumba 8 vyote ni vya nini au unataka kuishi na ukoo mzima?Kuwa na Maono ya Mbali
Jenga nyumba kubwa ila anza mdogo mdogo hata ikichukua miaka 10 we target room 8 au 6 vyote master. Mimi ndio target yangu hii. Kiwanja cha slope ndio chenyewe cz unatoa underground...
Ndugu, vyumba 8 vyote ni vya nini au unataka kuishi na ukoo mzima?
Bila shaka ni madale au salasala hiyoBraza watu tuna focus mbali (Mungu tu anijahalie umri mrefu [emoji1488]) ila tunaanza taratibu leo....kuna private office, study room ya madogo, top floor living room, laundry room, kitchen and store kwa nnje kuna underground ambayo ni gym na lounging area nikiwa na ndugu, jumuiya na wana...
Bila shaka ni madale au salasala hiyo
Hapo solution vyumbani unaweka vidanda vya double deka,juu unaweka kitanda cha futi 4 kwa 6 na chini unaweka 5 kwa 6 ama 6 kwa 6 hapo unakuwa umesovu sana gharama,sasaivi iyo ndio fashion nyumba nyingiNyumba vyumba vitatu
watoto watatu...