Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

Sehemu tambarare au yenye mwinuko? Ila ujue nyumba bora ni msingi imara.
 
Nyumba iliyoenda Juu ni nzuri na ina faida mingi sana, Napenda nyumba za namna hiyo.

Kuweka Taa tu lazima itafutwe ngazi, sio nyumba ukipanda juu ya stuli tu ushafikia Holder..

Mkuu unajenga nyumba nzuri sana sijaiona ila nai feel....
Kabisa mkuu, mwenyewe naifeel sana nyumba yangu, japo bado nachechemea mdogo mdogo. Kiukweli nyumba iliyoenda juu inavutia ndani na nje
 
Your browser is not able to display this video.

Huo ni mradi wangu sasa ivi. Hapo ni mwamba.. na palikuwa mlimani.. angalia mawe ya msingi yalivyopanda juu na kuna nondo.. msingi ndio nyumba.. fanya msingi mbovu na hautakuwa na nyumba ya maana baada ya miaka kadhaa. 12 million kwa bei za materials sasa ivi ni sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…