Naomba kufahamishwa haya kuhusu mikopo ya bajaji

Nenda NMB
 
kwa sasa unatanguliza million 2 mkuu na shilling laki na 70 kwa week, bajaji ni million 8 sasa
Huo mkopo umiza maana yake dereva aingize Tsh 24,000/ kwa siku? Na Hapo abakiwe na ya kula yeye na familia , du! Na bajaj zilivyo tapakaa kwa sasa..
 
Pole sana ndugu hemedy nikushauri ipo company ya kukopesha Bajaj na pikipiki iko mwenge mpakani inaitwa watu credit , nakushauri nenda pale upewe maelekezo then utafanya assessment ni heli ukope kwenye iyo company ya watu au uendelee kumshawishi mzee akukupe bank au sehemu nyengine yenye riba ndogo
 
Hao hapo WATU wako
 
Wewe umenena vyema,
 
Kuna benki inaitwa MAENDELEO BANK nao wanatoaga hii mikopo. Wako Mwenge geti la kuingia TUMAINI UNIVERSITY, pia wako POSTA tawi la Luther. Kwingine waliko sipajui but wana matawi mengine pia.
 
Kuna jamaa wanajiitav Watu' wapo mwenye na targets huwa wanakopesha boda n bajaji. Wacheki insta
 
Mkuu ina ukweli hii??

Miezi 14 ni sawa na siku 426

426 x 15,000 = 6,390,000

Hapa Bongoland sifikirii kuwa kuna kampuni inayokopesha bajaji kwa milioni sita.
Kumlisha na kianzio mtu anachotoa.
Umepiga hesabu nzuri ila umesahau Kujumlisha KIANZIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…