Naomba kufahamishwa haya kuhusu mikopo ya bajaji

Habarii, natumaini wote ni wazima,

Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa nipo mtaanii tu nimekaa sana mtanii hivi sasa muda wote huo namsumbuwa mzee anikopee hata bajajii lakinii wapii juhudii zinashindikana gombana nae sana lakinii siku fanikiwa na mzee wangu sio kwamba uwezo wa kukopa anao sababu anafanya kazii serikalini lakinii mwanae nipo Street tu.

Yeye ana habarii ukimwambia mzee naomba basii japo msingi nikafanye biashara anacho jibu kwamba utaweza wewe kufanya biashara naweza nikakupa halafu tuone utafika wapii hivii serious mzazii unamkatisha tamaa mtoto eti nikikupa cjui utapata utafika nilijiskia vibaya ila nikaona sawa tu haina shida kwa kuwa nipo kwake sawa.

Imagine tangu 2014 mpaka juzi 31/3/2023 ndo anakuja kuniambia ulizia ofisi ambayo inakopesha bajaji twende tukaangalie uweze kano wa kukopa nikamuhitikia sawa haina shidaa.

Ombii langu kuandika uzii huu ni **NI OFISII IPI AMBAYO INATOA MIKOPO YA BAJAJII PIA RIBA YAKE INAKUWA JE PIA KIANZIO UNAANZA NA BEII GANIII SHUKRANII KWA WOTE NASUBIRIII COMMENTS ZENU[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Nenda NMB
 
kwa sasa unatanguliza million 2 mkuu na shilling laki na 70 kwa week, bajaji ni million 8 sasa
Huo mkopo umiza maana yake dereva aingize Tsh 24,000/ kwa siku? Na Hapo abakiwe na ya kula yeye na familia , du! Na bajaj zilivyo tapakaa kwa sasa..
 
Habarii, natumaini wote ni wazima,

Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa nipo mtaanii tu nimekaa sana mtanii hivi sasa muda wote huo namsumbuwa mzee anikopee hata bajajii lakinii wapii juhudii zinashindikana gombana nae sana lakinii siku fanikiwa na mzee wangu sio kwamba uwezo wa kukopa anao sababu anafanya kazii serikalini lakinii mwanae nipo Street tu.

Yeye ana habarii ukimwambia mzee naomba basii japo msingi nikafanye biashara anacho jibu kwamba utaweza wewe kufanya biashara naweza nikakupa halafu tuone utafika wapii hivii serious mzazii unamkatisha tamaa mtoto eti nikikupa cjui utapata utafika nilijiskia vibaya ila nikaona sawa tu haina shida kwa kuwa nipo kwake sawa.

Imagine tangu 2014 mpaka juzi 31/3/2023 ndo anakuja kuniambia ulizia ofisi ambayo inakopesha bajaji twende tukaangalie uweze kano wa kukopa nikamuhitikia sawa haina shidaa.

Ombii langu kuandika uzii huu ni **NI OFISII IPI AMBAYO INATOA MIKOPO YA BAJAJII PIA RIBA YAKE INAKUWA JE PIA KIANZIO UNAANZA NA BEII GANIII SHUKRANII KWA WOTE NASUBIRIII COMMENTS ZENU[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Pole sana ndugu hemedy nikushauri ipo company ya kukopesha Bajaj na pikipiki iko mwenge mpakani inaitwa watu credit , nakushauri nenda pale upewe maelekezo then utafanya assessment ni heli ukope kwenye iyo company ya watu au uendelee kumshawishi mzee akukupe bank au sehemu nyengine yenye riba ndogo
 
Habarii, natumaini wote ni wazima,

Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa nipo mtaanii tu nimekaa sana mtanii hivi sasa muda wote huo namsumbuwa mzee anikopee hata bajajii lakinii wapii juhudii zinashindikana gombana nae sana lakinii siku fanikiwa na mzee wangu sio kwamba uwezo wa kukopa anao sababu anafanya kazii serikalini lakinii mwanae nipo Street tu.

Yeye ana habarii ukimwambia mzee naomba basii japo msingi nikafanye biashara anacho jibu kwamba utaweza wewe kufanya biashara naweza nikakupa halafu tuone utafika wapii hivii serious mzazii unamkatisha tamaa mtoto eti nikikupa cjui utapata utafika nilijiskia vibaya ila nikaona sawa tu haina shida kwa kuwa nipo kwake sawa.

Imagine tangu 2014 mpaka juzi 31/3/2023 ndo anakuja kuniambia ulizia ofisi ambayo inakopesha bajaji twende tukaangalie uweze kano wa kukopa nikamuhitikia sawa haina shidaa.

Ombii langu kuandika uzii huu ni **NI OFISII IPI AMBAYO INATOA MIKOPO YA BAJAJII PIA RIBA YAKE INAKUWA JE PIA KIANZIO UNAANZA NA BEII GANIII SHUKRANII KWA WOTE NASUBIRIII COMMENTS ZENU[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Hao hapo WATU wako
IMG-20230406-WA0014.jpg
IMG-20230406-WA0013.jpg
 
Mzee kama naweza kukomaa akuchukulie bank akupe kama mtaji wako bila riba ni bora sana...

Nakushauri:

Kama hawezi kukupa kama msaada usio na riba kukusaidia kama kijana wake, achana naye kabisa pambana mwenyewe.

Huyo Mzee atakuja kukusumbua huko mbele na hayo maneno yake ya unyanyasaji usio na sababu kabisa kwako.

Mambo ya barabarani yana mambo mengi na yanaitaji utulivu, huyo Mzee atakuwa mtu wa kukufuatilia sana na itakugharimu.

Tafuta ndugu, rafiki, au mtu yeyote upate ya mkataba, fight on your own, labda akununulie bure kabisa hiyo bajaj.
Wewe umenena vyema,
 
Kuna benki inaitwa MAENDELEO BANK nao wanatoaga hii mikopo. Wako Mwenge geti la kuingia TUMAINI UNIVERSITY, pia wako POSTA tawi la Luther. Kwingine waliko sipajui but wana matawi mengine pia.
 
Kuna jamaa wanajiitav Watu' wapo mwenye na targets huwa wanakopesha boda n bajaji. Wacheki insta
 
Mkuu ina ukweli hii??

Miezi 14 ni sawa na siku 426

426 x 15,000 = 6,390,000

Hapa Bongoland sifikirii kuwa kuna kampuni inayokopesha bajaji kwa milioni sita.
Kumlisha na kianzio mtu anachotoa.
Umepiga hesabu nzuri ila umesahau Kujumlisha KIANZIO
 
Back
Top Bottom