Naomba kufahamishwa haya kuhusu mikopo ya bajaji

Hemedy rashidy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
244
Reaction score
147
Habarii, natumaini wote ni wazima,

Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa nipo mtaanii tu nimekaa sana mtanii hivi sasa muda wote huo namsumbuwa mzee anikopee hata bajajii lakinii wapii juhudii zinashindikana gombana nae sana lakinii siku fanikiwa na mzee wangu sio kwamba uwezo wa kukopa anao sababu anafanya kazii serikalini lakinii mwanae nipo Street tu.

Yeye ana habarii ukimwambia mzee naomba basii japo msingi nikafanye biashara anacho jibu kwamba utaweza wewe kufanya biashara naweza nikakupa halafu tuone utafika wapii hivii serious mzazii unamkatisha tamaa mtoto eti nikikupa cjui utapata utafika nilijiskia vibaya ila nikaona sawa tu haina shida kwa kuwa nipo kwake sawa.

Imagine tangu 2014 mpaka juzi 31/3/2023 ndo anakuja kuniambia ulizia ofisi ambayo inakopesha bajaji twende tukaangalie uweze kano wa kukopa nikamuhitikia sawa haina shidaa.

Ombii langu kuandika uzii huu ni **NI OFISII IPI AMBAYO INATOA MIKOPO YA BAJAJII PIA RIBA YAKE INAKUWA JE PIA KIANZIO UNAANZA NA BEII GANIII SHUKRANII KWA WOTE NASUBIRIII COMMENTS ZENU[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Hata kama ni stress za kutokupata Ajira tangu umalize Chuo 2014 ndio uandike kwa kutiririka tu bila hata koma wala nukta?kwa hiyo ukiajiriwa leo kisha ukapewa kazi uandae Ripoti fulani basi utatiririka tu hivyo? inaonekana huajiriwi maana hata uandishi wako wa CV au Application Letter utakuwa na kasoro Ndugu Hemedy,ni vema ukaandika kama msomi wa TIA!!kuna Kampuni inaitwa WATU,ipo kama unatoka Mwenge unaenda Mlimani City(au search Google hiyo Kampuni inaitwa WATU),wao ndio hukopesha Bajaj,Pikipiki za kawaida na Maguta,nenda kapate taarifa kamili.
 
Crdb, platnum credit
 
Thank you bro[emoji1488]
 
Mzee kama naweza kukomaa akuchukulie bank akupe kama mtaji wako bila riba ni bora sana...

Nakushauri:

Kama hawezi kukupa kama msaada usio na riba kukusaidia kama kijana wake, achana naye kabisa pambana mwenyewe.

Huyo Mzee atakuja kukusumbua huko mbele na hayo maneno yake ya unyanyasaji usio na sababu kabisa kwako.

Mambo ya barabarani yana mambo mengi na yanaitaji utulivu, huyo Mzee atakuwa mtu wa kukufuatilia sana na itakugharimu.

Tafuta ndugu, rafiki, au mtu yeyote upate ya mkataba, fight on your own, labda akununulie bure kabisa hiyo bajaj.
 
Naujua mkopo wa Pikipiki ila havijaachana sana na bajaji mfano unatanguliza kianzio 300000. Kila siku unapeleka 8500 ndani ya mwaka. Kwa bajaji sijajua kianzio ngap na marejesho ngap kila mwaka.

Ila kama Uwezo upo ni heri mkachukue mkopo bank wa pesa mkanunue bajaji then marejesho mfanye wenyewe bank mikopo hii ya vitu riba inakuwa kubwa sana.
 
Pitia huu uzi ukajifunze kuhusu mikopo ya bajaji kabla haujapigwa na kitu kizito kichwani.

Kuna kampuni inaitwa WATU wanakopesha pikipiki,Bajaj kianzio ni laki 7 tu unachukua Bajaj leo leo .
Ukichukua Bajaj kwa siku marejesho ni elfu 15 kila siku kwa muda wa miezi 14
Mkuu ina ukweli hii??

Miezi 14 ni sawa na siku 426

426 x 15,000 = 6,390,000

Hapa Bongoland sifikirii kuwa kuna kampuni inayokopesha bajaji kwa milioni sita.
 
Umesahau kujumlisha na kianzio laki 7
 
Back
Top Bottom