Naomba kufahamishwa haya kuhusu NBC Kiganjani

DexterLab

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
443
Reaction score
584
salamu wakuu,

Zaidi ya miezi sasa huwa nasikia matangazo ya hii benki ya NBC,

mwenye uzoefu wake atupe, pia ukisha sajili hapo hapo unapata account number na hauitaji kwenda kwenye tawi lao au makao makuu.

pia makato. šŸ™šŸ¾

20250831_142022.jpg
 
Kujifungulia account mwenyewe hapo hapo inaanza kufanya kazi na unapata akaunti namba muda Huo huo kitakachokupeleka Tawini ni kufata Kadi ya ya bank kama utaihitajiambayo hii utaiomba mwenyewe baada ya kufungua akaunti ila matumizi ya sim bank yote utafanya kama kawaida ikiwemo kuweka pesa na kutoa pesa
 
makato vipi mkuu?
 
Sidhani kama hiyo akaunti namba itafanya kazi bila kulink account yake, NBC kiganjani ilijilog out kwangu nikawa nikilog in inagoma, nikafika tawini mara mbili nimeishiwa kujaza fomu na hadi leo hii imepita miezi 10 sijatafutwa na shida yangu haijatatuliwa.
 
Back
Top Bottom