Mungu apewe sifa zake na utukufu wake. Nianze kwa kusema hv nlkutana na mwanamke kimapenzi kwa mara ya Kwanzaa tulitumia ndom, sku ilyofuata tukatafnana kavu kavu lakini ilivyopita sku nne nkaanza kuumwa pumbu nikawa nawashwa kana mtu Kaja na pas akawa anaunguza yaani zimebabuka lakini uume nao umekua na vibakabaka vya vidonda, tuseme naumwa kweli.
Je swali langu sku nne zilzopta inawezekana Kama niliambukizwa gono ikawa ishaonekana? Je naweza tumia dawa gani ili kupata nafuu?
Je swali langu sku nne zilzopta inawezekana Kama niliambukizwa gono ikawa ishaonekana? Je naweza tumia dawa gani ili kupata nafuu?